NGUMI KUPIGWA UWANJA WA JAMUHURI MOROGORO IDI PILI

Sent from my BlackBerry® wireless device

—–Original Message—–
From: superdboxing coach
Date: Tue, 30 Aug 2011 22:34:04
To: ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ; ;
Subject: NGUMI KUPIGWA UWANJA WA JAMUHURI MOROGORO IDI PILI

MABONDIA Asha Abubakar na Fadhila Adam wanatarajia kudundana katika pambano
la kuhamasisha ngumi kwa wanawake litakalofanyika Idi pili katika Uwanja wa
Jamuhuri, Morogoro.

Pambano hilo litakuwa ni miongoni mwa mapambano ya utangulizi katika pambano
la marudiano kati ya mabondia wa ngumi za kulipwa Fransic Cheka na Mada
Maugo.

Pambano hilo la ubingwa wa UBO linatarajia kuwa la raundi 10 uzito wa Middle
huku likisimamiwa na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania,(PST).

Akizungumza Dar es Salaam jana, Promota wa ngumi hizo Kaike Siraju alisema,
pambano hilo la kuhamasisha litakuwa la raundi 6 huku katika uzito wa Fly
ambalo litakuwa ni moja ya pambano la kivutio siku hiyo.

“Wanawake ni wachache sana wanaoshiriki katika mchezo huu hivyo ni naimani
watu watapata burudani ya kutosha kutoka kwa wadada hao,” alisema kaike.

Alisema, kwa upande wa Maugo na Cheka kila bondia kajiandaa vya kutosha kwa
ajili ya kuweza kuibuka na ubingwa ili aweze kuendeleza rekodi yake.

Mbali na kuwepo mapambano ya ngumi kutakuwa na uuzwaji wa DVD zenye
mapambano ya mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywherth, Roy
Jones na wengine kiba DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu
zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha Rajabu Mhamila ‘Super D’,
alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya
kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.

“Ninatarajia kuwapelekea DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika pambano
la Cheka na Maugo ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na
sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D.

Mwisho

Super D Boxing Coach
Photojournalist at Majira, Business Times
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
Mob;+255787 406930
+255774406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania


Super D Boxing Coach
Photojournalist at Majira, Business Times
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
Mob;+255787 406930
+255774406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania