Africa Matters

Maalim Seif alikuwa mtu wa kipekee Zanzibar

*Alikuwa wa pili kuanzia Rais Jumbe alipoachia madaraka, hadi kifo Na Anil KijaKIFO cha Seif Sharif Hamad, akiwa Makamu wa Kwanza wa Rais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kimebadili sura ya siasa Visiwani humo kuwa ya kawaida zaidi. Kipindi cha siasa Visiwani kuanzia mwaka 1984, mwezi Aprili alipoondolewa madarakani Rais Aboud Jumbe Mwinyi na CCM, Maalim Seif amekuwa na…

Read More