Africa Matters

Wakausha uke kuvutia mapenzi

    NCHINI Zambia kuna imani kwamba uke mkavu unaonesha  uaminifu wa mwanamke katika maisha  yake ya kike. Kutokana na hali hiyo wanawake wengi wamekuwa wakitumia mizizi kuondoa ute unaolainisha njia hiyo, ama kw akuingiza dawa hizo au kuzinywa. Pamoja  maamuzi hayo ambayo ni ya kibinfsui mno madaktari nchini hapa wamesema kwamba  utamaduni huo unaoshika kasi una hataraisha maihs…

Read More