Africa Matters

TANZANIA: Viongozi achene tabia ya kulalamikabalitafutenimajawabu ya kero za wakulima na wafugaji

“SITAKI VYAMA VYA USHIRIKA LIA LIA RUKWA” – RC MKIRIKITI Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Joseph JosephMkirikiti amewatakaviongoziwavyama vya ushirikawawilaya za Sumbawanga, Nkasi na Kalambo kuachatabia ya kulalamikabadalayakewahamasisheushirikaunaolengakuchangia kwenye ukuaji wauchumi wa wananchi. Mkirikiti ametoaagizo hilo leo (03.09.2021) mjini Sumbawanga alipokutana na viongozi wa Chama Kikuu cha UshirikaUfipa cha Rukwa (UCU) pamoja na wanachamawake 60 kujadili changamoto za…

Read More