SERIKALI KUCHIMBA MABWAWA YA MAJI WILAYANI MASASI.
(Na Veronica Kazimoto – MAELEZO) Dodoma 31Julai, 2012. Serikali kupitia Halimashauri ya Masasi imeazimia kuchimba mabwawa ya maji kwa matumizi ya binadamu na tayari kibali kimeombwa Wizara ya Maji ili kutumia fedha za Program ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijiji. Akijibu swali kwa niaba ya Waziri Mkuu bungeni leo,Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na…