Africa Matters

“Ni na ndoto ya kupeleka muziki wangu nchi zaidi ya 50”- mwimbaji chipukizi Winnie Mbilingi

  *Anatamba na wimbo wa u mwema *Anatarajia kuzindua albam yake mwakani   Na Mwandishi wetu, Mwimbaji chipukizi Winnie Mbilingi kutoka Tanzania, amesema ana maono makubwa, ya kutoa album mwaka huu, ambayao itamplekeka  zaidi ya nchi 50. Winnie alianza safari yake ya uimbaji nyimbo za injili rasmi mwaka jana tu, anatamba na wimbo wa U Mwema, unaofanya visuri nchini…

Read More