Africa Matters

Sauti Sol waahidi utupu wao Arsenal ikishinda kisha.. wagwaya

    Na Mwandishi wetu Sauti Sol wamewatoa nishai wapenzi wao baada ya kushindwa kutekeleza ahadi ya kuwapa zawadi ya picha za uchi kama Arsenal itaichapa Chelsea  Katika majibizano na wapenzi wao katika mtandao wakali hao walisema kwamba  Arsenal ikimtandika Chelsea basi watapiga picha za utupui na kuziposti. Katika kipute kilichopigwa Derby  Jumapili, Arsenal iliichapa Chelsea 2-0  na kuwaacha…

Read More