Kikwete amewasili Malawi leo jioni kuhushuria Mazishi ya Bingu wa Mutharika

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili  mjini Blantyre ,Malawi  leo
jioni kuhushuria  Mazishi ya Profesa Bingu  wa Mutharika, aliyekuwa
Rais wa Malawi., aliyefariki tarehe 5 April, 2012  Kufuatia matatizo
ya Moyo

Rais Kikwete ni miongoni mwa Viongozi wakuu Saba kutoka nchi jirani na Malawi.

Nchi hizo ni Afrika Kusini, Benin, Kenya, Msumbiji, Zimbabwe na Zambia.


Sent from my mobile device