Wakausha uke kuvutia mapenzi
NCHINI Zambia kuna imani kwamba uke mkavu unaonesha uaminifu wa mwanamke katika maisha yake ya kike. Kutokana na hali hiyo wanawake wengi wamekuwa wakitumia mizizi kuondoa ute unaolainisha njia hiyo, ama kw akuingiza dawa hizo au kuzinywa. Pamoja maamuzi hayo ambayo ni ya kibinfsui mno madaktari nchini hapa wamesema kwamba utamaduni huo unaoshika kasi una hataraisha maihs…