Africa Matters

Temeke kumenoga:  Akili ya Pesa Challenge

Na Maida Waziri, Temeke, Dar es Salaam 12  July, 2022 Ndugu zangu, Tunapoleta  shindano la Akili ya Pesa Challenge katika wilaya yetu ya Temeke  tumelenga kuhakikisha kwamba vijana wanatumia  msuli  wa wilaya yetu kuvuna hela kiuendelevu. Hii maana yake  tunategengeneza  uelewa kuhusu fursa zilizopo katika wilaya hii ambazo ni za aina ya pekee. Ndio! huo ndio ukweli wa Temeke!…

Read More

EQUITY BANK GROUP KUWEKEZA TRILIONI 13

 08 Jun, 2022 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Lawrence Mafuru (kulia), akizungumza na Viongozi wa  Equity Bank Group Bw. Brent Malay (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji (Tanzania) , Bi. Isabela Maganga,  Jijini Dodoma. Na Benny Mwaipaja, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Lawrence Mafuru, ameihakikishia Benki ya Equity Group kwamba Serikali iko tayari kushirikiana na…

Read More