Temeke kumenoga:  Akili ya Pesa Challenge

Na Maida Waziri, Temeke, Dar es Salaam 12  July, 2022 Ndugu zangu, Tunapoleta  shindano la Akili ya Pesa Challenge katika wilaya yetu ya Temeke  tumelenga kuhakikisha kwamba vijana wanatumia  msuli  wa wilaya yetu kuvuna hela kiuendelevu. Hii maana yake  tunategengeneza  uelewa kuhusu fursa zilizopo katika wilaya hii ambazo ni za aina ya pekee. Ndio! huo ndio ukweli wa Temeke! Kwani  nani asiyejua kwamba Temeke ni kitovu cha upatikanaji wa uhuru wa Tanzania bara. Na kwamba Temeke pia ni kitovu cha kwa ukuaji wa michezo, utamaduni na maendeleo ya kilimo, wizara ya kilimo kwa miaka mingi na maabara zake a uchunguzi … Continue reading Temeke kumenoga:  Akili ya Pesa Challenge